DAWASCO INAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUWA MTAMBO WA KUZALISHA MAJI RUVU CHINI UTAZIMWA KWA WASTANI WA SAA 10 SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/7/2012 KUANZIA SAA 12;30 ASUBUHI .
MTAMBO WA RUVU CHINI UTAZIMWA ILI KURUHUSU MKANDARASI MRADI WA UPANUZI WA MTAMBO KUHAMISHA MFUMO WA UMEME. KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MJI WA BAGAMOYO, MAPINGA, BUNJU, BOKO, TEGETA, KUNDUCHI, SALASALA, JANGWANI, MBEZI BEACH NA KAWE. MAENEO MENGINE NI MLALAKUWA, MWENGE, MIKOCHENI, MSASANI, SINZA, KIJITONYAMA, KINONDONI, OYSTERBAY, MAGOMENI, UPANGA, KARIAKOO, CITY CENTRE, ILALA, UBUNGO MAZIWA, KIGOGO, MBURAHATI, MUHIMBILI MNH NA UBUNGO.
WANANCHI MNASHAURIWA KUHIFADHI MAJI NA KUYATUMIA KWA MAKINI.
IMETOLEWA NA
OFISI YA UHUSIANO
DAWASCO

No comments:
Post a Comment