Showing posts with label mitindo. Show all posts
Showing posts with label mitindo. Show all posts
Tuesday, August 14, 2012
Tuesday, July 24, 2012
Monday, July 23, 2012
WAKINADADA NA MAVAZI YA MTEGO
Hivi sasa imekuwa kawaida baadhi ya kina dada kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema wanaenda na wakati, vyema, lakini kinachojitokeza zaidi ni tabia ya wadada hawa kutokupenda kuvaa chochote ndani pamoja na kuwa wanavaa nguo fupi, kutokuvaa nguo ya ndani si tatizo sana, lakini je ni lazima watu wajue kuwa hukuvaa kitu??
Tuesday, July 17, 2012
RANGI ZA MDOMO HUONGEZA MVUTO KWA MWANAMKE
Kama watu wengi wajuavyo kuwa mdomo ni muhimu katika unadhifu wako mwanadada au mwanamama na unaweza ukufanye uonekane unamvuto zaidi na kukuongeza kupendeza katika muonekano wako.hivyo inatupasa kutambua kuwa ngozi ya mdomo ni laini na inahitaji uangalizi wa hali ya juu ili kuhakikisha kwamba inakuwa laini siku zote bila ya kupoteza uhalisia wake
Wednesday, July 11, 2012
Thursday, June 21, 2012
Wednesday, June 20, 2012
Monday, June 18, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)



















