BENKI ya NMB inatarjia kudhamini mashindano yatakayoendeshwa na Maisha Plus kwa kushirikiana na Oxfam kwa kuwashirikisha washindi walioshinda katika kampeni ya Mama shujaa wa chakula iliyoendeshwa na Oxfam .
Akiongea na wandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam Mark Wiessing alisema NMB imeamua kudhamini mashindano hayo ili kuhakikisha ardhi iliyopo inamsaidia Mtanzania mwenyewe kwani kupitia shindano hilo litawahamasisha watu kujishughulisha katika mambo ya kilimo
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Wednesday, August 22, 2012
Monday, July 23, 2012
MUZIKI WA TANZANIA UPO KATIKA HADHI YA KIMATAIFA?
Baadhi ya wasanii wengi nchini Tanzania wanatamani kufanya muziki na kuipeleka fani hiyo katika ngazi ya kimataifa ingawa hawaonyeshi juhudi zozote katika kufanikisha hilo Ukifanya mahojiano na baadhi ya wasanii nchini Tanzania kila msanii ana ndoto na malengo ya kuupeleka muziki wake katika ngazi ya kimataifa huku wakiwa na kila sababu ya kuutangaza muziki wake katika mipaka ya ndani na njee ya nchi yetu huku akipeperusha bendela ya nchi hii
Friday, July 13, 2012
HUSSEN KUHAMIA KENYA
Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Hussein Machozi amesema anafikiria kuamisha shughuri zake za muziki katika nchi jirani ya Kenya
RIHANNA ANOGESHA TAMASHA KWA KUONYESHA MATITI
Tabia ya wanamuziki nyota wa kike kuonesha maziwa yao hadharani wakiwa jukwaani imezidi kupanda chati, baada ya mwanamuziki Rihanna kuonesha sehemu sehemu ya chini ya matiti yake wakati wa onesho la Wireless.
Thursday, July 12, 2012
ZITTO AANZISHA UMOJA WA WASANII KIGOMA
Mbunge
Zitto Kabwe kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Kigoma Kaskazini , ameanzisha umoja wa
wasanii wa muziki wa Kigoma ambao wamerekodi nyimbo ya pamoja inayoitwa 'Leka
Dutigite' wakimanisha 'Tunajidai' ambayo itazinduliwa Julai 17 mkoani Kigoma.
Wednesday, July 11, 2012
KYLINE MINOGUE ATOKA KIVINGINE
Malikia wa Pop , Kyline Minogue ameonesha muonekano atakaokuwa nao katika filamu yake mpya baada ya kubambwa akiwa na kichoro baandia ya tattoo, mbali na michoro hiyo kinara huyo anayeongoza katika misimamo wa nyimbo bora ya Aussie, vilevile juzi alifumwa akinunua ngiuo jijini New York wakati akirekodi filamu hiyo mpya ,
Msanii huyo alianza kuwa na uchizi wa tattoo wakati alipofyatua filamu yake ya kwanza iitwayo Moulin Rouge miaka 11 iliyopita
Tuesday, July 10, 2012
USHER RAYMOND:MSANII MWENYE VIPAJI VINGI
Usher Raymond msanii mwenye sifa kemkem ikiwemo ya uandishi wa nyimbo, uimbaji, uigizaji,mchezashoo mwanamitindo, utayarishaji, mbunifu,pamoja na kuwa mfanyabiashara .Nyota huyo aliyezaliwa miaka 32 huko nchini Marekani alianza kushika chati kwenye miaka ya 1990 alipotoa albamu yake ya pili iliyotambulika kwa jina la ‘My Way’ ndani ya albamu hiyo kuna kibao cha ‘Nice and Slow’ kilichoshika namba moja katika chati ya Billboard Hot 100, katika tasinia ya muziki Usher ametamba vilivyo kutokana na kuwa kwenye muda mrefu katika burudani
ARUSHA IMEWASHA MOTO EBSS
Pazia la mchujo wa kusaka vipaji vya wawakilishi wa mkoa wa Arusha katika fainali za EBSS 2012 lilifungwa rasmi juzi katika ukumbi wa Triple A mjini hapa na sasa kazi inahamia jijini Mwanza jumamosi
Thursday, July 5, 2012
MAPACHA WATATU BADO WAPO KWENYE GEMU
Baada ya mmoja anayekamilisha kundi la mapacha watatu kutoka katika kundihilo Josee Mara ambae ni kiongozi na mmiliki wa band ya MAPACHA WATATU amesema “Kalalaaliyekua mkurugenzi wa Mapacha tumeshaachana nae mazima kwa sababu ilikua ni mjadala wa mda mrefu, Tumeshamalizana nae na zile taratibu alizoziomba zimeshafanikiwa na tumeshafanya mikataba chini ya Advocate Okale”
“Kikubwa sasa hivi tunaangalia tunafanya nini ili kuwapa nafasi wanamuziki tulio nao MAPACHA akiwemo Catherine, January na Kambi… yani kama Josee Mara aliimba rangi ya chungwa na Jojina ndani ya FM ACADEMIA miaka miwili na ndio akaja kutoka kwenye dunia kigeugeu basi mi naamini January na Kambi tutawapa nafasi na maisha yataendelea” – Josee Mara
Wednesday, July 4, 2012
AFRIKA BAND KUFANYA KWELI
Katika shamrashamra za kusherekea Saba Saba bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Afrika Band imeungana na wananchi kwa aina yake katika kusherehekea siku hizo kwa kutoa burudani ya nyimbo mpya zilizopo katika CD " BONGO TAMBARARE" na kuziachia baadhi ya nyimbo redioni kama "Supu ya Mawe" na "Uhuru wa Habari"
Monday, July 2, 2012
BURUDANI MTWARA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva), kutoka Kundi la THT,
Mwansiti Almasi akikonga nyoyo za wakazi wa Mtwara waliohudhuria katika
uzinduzi wa huduma
ya Supa 5 ya Airtel katika Uwanja wa Mashujaa Mkoani Mtwara jana.Na Mpigapicha Wetu
source :majira.co.tz
ya Supa 5 ya Airtel katika Uwanja wa Mashujaa Mkoani Mtwara jana.Na Mpigapicha Wetu
source :majira.co.tz
Tuesday, June 26, 2012
SHETTA APAGAWISHA MOROGORO
Msanii mwenye umri mdongo anayetamba katika gemu la muziki wa kizazi kipya Shetta pamoja na madansa wake wakiwaburudisha wakazi wa Morogoro katika Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo limeandaliwa na Vodacom Tanzania, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Monday, June 25, 2012
TONI KUCHEZA FILAMU
Mshindi wa tuzo za Grammy Toni Braxton amesaini mkataba wa kutengeneza filamu ya maisha yake halisi akishirikiana na motto wake wa kiume Diezel.
Saturday, June 23, 2012
WAYNE AVUNJA REKODI BILLBOARD
Lil Wayne ameingia katika vitabu vya historia baada ya rapa huyo mmliki wa lebo ya kurekodi muziki ya Young Money kuingiza wimbo wake 100 katika chati za Billboard R&B/HIP-POP songs wiki hii.Weezy ameingia katika chati hizo kam mgeni mwalikwa katika wimbo wa single ya Montana ya ‘Pop That’ambayo imeingia katika Nambar 57.
Friday, June 22, 2012
MKALI WA FILAMU NCHINI NIGERIA NA AFRIKA KUTUA DAR
MKALI wa filamu nchini Nigeria na Afrika, Omotola Jalade anatarajia kuzindua filamu ya Super Star nyota wa tasnia hiyo nchini Wema Sepetu, Jumapili katika Ukumbi wa Hoteli ya Girafee Ocean View, iliyopo Mbezi Beach.
Thursday, June 21, 2012
MASHUJAA KUTUMBUIZA KANDA YA ZIWA
Bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa ‘Wana kibega’inatarajia kufanya ziara maalumu kwa mashabiki wake wa kanda ya Ziwa mwishoni mwa wiki. Akizungumza Dar es Salaam jana Meneja wa bendi hiyo Martin Sospeter alisema onesho la kwanza litafanyika Ijumaa mjini Kahama mkoani Shinyanga
Wednesday, June 20, 2012
DIAMOND KUNOGESHA MISS DAR INTER
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Adbdul
‘Diamond’ anatarajia kupamba mashindano ya kumsaka Redd's Miss Dar Intercollege
2012, yaliyopangwa kufanyika Juni 22 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa , uliopo mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
FM KUVUNJA JUKWAA ARCADE
Bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma',
wanatarajia kufanya onesho lililopewa jina la ‘Usiku wa Windhoek na Ngwasuma’,
ambalo litafanyika keshokutwa katika Ukumbi wa Arcade, Mikocheni jijini Dar es
Salaam.
Tuesday, June 19, 2012
EXTRA BONGO KUZINDUA UKUMBI
Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Wazee wa kizigo’ inatarajia kuzindua ukumbi wao wa Bongo Club uliopo Kimara Bucha, Dar es Salaam. Ukumbi huo ambao unamilikiwa na bendi hiyo utatambulishwa rasmi Julai Mosi mwaka huu ikiwa ni pamoja na gari lao kwa ajili ya kusafieisha wanamuziki wake katika maonyesho yao mbalimbali
Subscribe to:
Posts (Atom)















