Showing posts with label Kibarazani. Show all posts
Showing posts with label Kibarazani. Show all posts

Saturday, August 11, 2012

FILAMU YAWAKUTANISHA WAPENZI


Baada kuwa wametengana kwa muda mrefu hatimae Daniel Craig amekutana na mke wake Racher Weisz Craig ambaye anaigiza kama James Bond kwa sasa amekutana na Weisz wakati wa uzinduzi wa filamu The Bourne Legacy.

Wawili hao kila moja alifika katika jiji la New York kwa wakati wake na walikutana katika tukio hilo ambalo limeonekana kuwaunganisha tena, wanandoa hao walionekana kwa muda mwingi kutumia wakiwa pamoja huku wakionekana wenye furaha

KIM KARDASHIAN AJIACHIA NA MPENZI WAKE


Mara nyingi imezoeleka kumuona Kim Kardashian akifanya manunuzi, matanuzi na kutembelea Gym katika jiji la Los Angeles, lakini Kim Kardashian ameamua kuachana na hayo na kwenda nchini Mexiko kuponda raha katika mbuga na msitu

Tuesday, July 24, 2012

JE!!?? RAISI KASAINI SHERIA MPYA YA MAFAO NSSF???!!!

Kuna habari zinaendelea kuzungumzwa kuhusu sheria mpya ya mafao ya NSSF kuwa, kwa sasa ili uweze chukua pesa yako inabidi uwe umetimiza miaka 55, hiyo ni kwa hiari na kwa lazima ni miaka 60.

na hiyo act inasema" ''This act shall apply to a person or employee employed in the formal or informal or self-employed in the mainland Tanzania and shall not apply to a person who has been insured or registered under any other law.''

habari hizi zinaendelea kusema kuwa , sheria hii haitawagusa wabunge au viongozi wa juu serikalini???

Uvumi huu unasema kuwa, Ukifa familia itaruhusiwa kuomba pesa zako, au ukiumwa ile mpaka wakaona unataka kufa..ndo wata kupa pesa yako..mmmh..
kuna maswali ya kujiuliza

Kwanza life span ya Mtanzania wa kawaida ni miaka mingani ?
watu kufika 55 wengi wetu tumechoka kabisa.

Pesa hiyo itakuwa na thamani kwa wakati huo?

kwa nini wafanye maamuzi bila kutushirikisha wadau?

tunaomba maoni ya watu kuhusu hili swala kama lipo..na limefikia wapi?

jambo hili limezungumziwa pia kwenye jamii forum :http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/296767-sheria-mpya-ya-mafao-haiwagusi-wabunge-na-viongozi-wengine-wakubwa.html

hatarisho:habari hii haina uthibitisho...japo lisemwalo lipo...kama halipo laja

Monday, July 23, 2012

TAMARA: HATUJAWAI FANYA NGONO KWA ZAIDI YA MWAKA



 
Tamara ni Binti wa tajiri maarufu wa magari yanayojulikana kama F1 (Bernie)

Tamara afungua moyo na kunena kuhusu kuvunjika kwa penzi lake yeye na Omary Khyami
Tamara - ambaye ni mtoto wa bosi wa magari ( Formula One) kwa jina  Bernie Ecclestone - alisema kwa sasa anapata utambuzi kuwa kitendo cha Rafiki wake wa kiume  Omary Khyani kukataa kufanya tendo la ndoa kwa mda wote huo, limesababishwa na udanganyifu aliokuwa anaufanya na wanawake wengine nje.

Saturday, July 21, 2012

MADONA AKUMBWA NA MKASA BAADA YA KUIBA VIONJO


Mwanamuziki Madonna amekumbwa na mkasa baada ya kuiba vionjo vya muziki katika kibao chake kinachotamba kiitwacho ‘Vogue’. Kwa mujibu wa mtandao wa Gital Spy mmliki wa nembo hiyo ambaye ni kampuni ya Vmg Salsoul anamshtumu nyota huyo kwa kuiba vionjo katika wimbo wa bendi ya Salsoul Orchestra ambayo ilitamba miaka ya 1975 uitwao ‘Chicago Bus Stop (Oooh, ILove it)

Thursday, July 19, 2012

RIHANNA AKODI UMBA LA KIFAHARI KWA AJILI YA MAPUMZIKO


Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Rihanna anaripotiwa kukodi jumba la kifahari nchini Ufaransa ili aweze kujirusha na mpenzi wake , Drake, kwa mujibu wa gazeti la The sun nyota huyo amekodi jumba hilo kwa thamani ya paundi 100,000 ili aweze kujinafasi na rapa huyo.

Monday, July 16, 2012


BONGO MOVIE INAHITAJI MAOMBI


Kuna tetesi kuwa Klabu ya Bongo Movie inayoundwa na baadhi ya mastaa wa filamu Bongo, inaelekea kusambaratika huku mwenyekiti wao, Jacob Steven ‘JB’ akiibuka na kusema umoja huo hauwezi kufa ila unahitaji kuombewa.

Friday, July 13, 2012

MEL C NA THOMAS STARR WATOSANA


Muimbaji wa kundi la muziki la Spice Girl, Mel C. Ametengana na rafiki yake wa kiume baada ya kuishi pamoja kwa muda wa miaka 10, kwa mujibu wa gazeti la The Sun muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 38, na rafiki yake huyo wa kiume Thomas Starr, 45 wana mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, aitwaye Scarlet na walikuwa wakiishi katika nyumba moja Kaskazini mwa jiji la London

Wednesday, July 11, 2012

WOLPER NA WEMA BIFU LIMEISHA


Baada ya kuzichapa katika tamasha la matumaini la mastaa wawili wa bongo movi Jaqkline Wolper na Wema Sepetu wamekuwa marafiki baada ya mpambano huo kuwapatanisha

Tuesday, July 10, 2012

PIGO ZITO



Haruni Sanchawa na Makongoro Oging' LISEMWALO lipo na kama halipo laja! Usemi huu umekamilika pale Charles Wilbroad alipopata pigo la kumpoteza mtoto wake kipenzi, Emmanuel Charles (7), siku ambayo gazeti hili liliandika habari kuhusiana na siri za Freemasons zilizotolewa na kijana huyo.

Saturday, June 23, 2012

OBAMA AVUTWA NA FILAMU YA “The Intouchables”


Rais Obama ameonesha kuguswa na filamu inayo kwenda kwa jina  "Intouchables" ambayo imeigizwa na Mfaransa, Omar Sy. Chanzo chetu cha habari kinatuambia kwamba Rais na Mke wake Mishel Obama walituma maombi ya kupatiwa copy ya nakala ya filamu hiyo kwa ajila ya uchunguzi ndani ya ikulu ya marekani. 

Wednesday, June 20, 2012

GAGA MUZIKI NDIO MPENZI WAKE

Mwanamuziki ambaye kwa sasa yuko juu Lady Gaga, amesema bado hajafunga ndoa na mpenzi wake wa sasa nyota wa kipindi cha maigizo kwenye televisheni kiitwacho, Vampire Diaries, Taylor Kinney kama inavyodaiwa na wengine

Mtandao wa Digital Spy ulimkalili nwanamuziki huyo wa kibao cha 'Born This Way' akiliambia gazeti la Sunday Telegraphy la nchi ya Australia kwamba licha ya kuonekana katika picha akiwa amevaa pete ya ndoa kwenye kidole hajaolewa ila mume ni mwanamuziki

RAY HAJUI URAFIKI WA MAREHEMU KANUMBA NA LULU

Msanii wa filamu nchini maarufu Vincent Kigosi 'Ray' amesema kuwa kifo cha msanii marehemu Kanumba akikusababishwa na yeye kwani siku mbili kabla ya kifo chake wazazi wa marehemu waliwasuruhisha na kumaliza tofauti zao

BOBBY BROWN AMEOA KWA MARA NYINGINE TENA.

Bobby Brown na  mke wake mpya Alicia Etheredge wakiwa katika picha ya pamoja baada ya harusi yao iliyofanyika  mji wa Hawaii Jumatatu.