Tuesday, July 3, 2012

MCHAKATO WA MAONI KATIBA - SHINYANGA

Baadhi ya wananchi mjini Kahama Mkoa wa Shinyanga wakiwa wamenyoosha mikono kwenye Uwanja wa halimashauri hiyo jana,ili kuomba kuruhusiwa kutoa maoni yao mbele ya Tume ya Kukusanya maoni juu ya uundwaji wa Katiba Mpya.Hata hivyo tume hiyo ilianza kazi wilayani hapa rasmi jana.
 
source:majira.co.tz

No comments:

Post a Comment