Mchina aliyenaswa na meno ya tembo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitaka kuyasafirisha nje ya nchi,
akirudishwa rumande na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukosa
dhamana tangu aliyemwekea dhamana kujitoa wiki iliyopita. Kesi yake
itatajwa tena Julai 16 mwaka huu.
source :global publisher
No comments:
Post a Comment