Friday, July 13, 2012
MATATIZO YANAYOSABABISHWA NA PUNYETO
Punyeto au kujichua ni kulazimisha hisia ili kujilidhisha kimapenzi kwa kuchukua aidha uume kuusugua au kusagana huku wanatumia sana wanawake na ni tabia ambayo imezidi kushamiri nchini kwetu .Tabia hii huanza taratibu wakati wa balehe ambapo katika kipindi hicho vijana hufanya utundu ili kujitosheleza kimapenzi kwa kujichua, kupiga punyeto au kusugua visimi/kinembe,hali inayowaathiri bila ya kujijua
Kimaumbili tendo la ndoa ni tendo la hisia ‘Simple Reflex/Voluntary Action’ambapo utaratibu wake huanzia kwenye ubongo wa nyuma kwani unapokuwa na hisia ya kufanya tendo la ndoa ghafla mapigo ya moyo huanza kwenda mbio huu ni mchakato ambapo chachu za uzazi ‘Reproduction Hormones’huamrishwa toka kwenye ubongo kwenda kwenye mfumo wa mzunguko wa damu ambapo moyo hutririsha damu kwa kasi kupitia mfumo wa hewa hadi mfumo wa uzazi na haswa kusimamisha uume tayari kwa tendo la ndoa na ili uume usimame na idumu kusimama lazima kuwe na uwiano mzuri wa damu, hewa na madini
Unapopiga punyote kujichua na kujisaga unalazimisha mifumo yote mine ya mwili navyo ni mfumo wa Fahamu, mzungukio wa damu, Mfumo wa hewa, pamoja na mfumo wa uzazi kufanya kitendo ambacho kwa wakati huo havipo tayari kufanya kwa wakati huo, hali hii humfanya mtendaji kujenga mazoea ‘Addiction’na kumletea madhara kama kupungukiwa au kuishiwa na nguvu za kiume kukosa hamu ya tendo ,ubaridi wakati wa tendo, kutofika kileleni, kulegeza misuli inayosimamisha uume wao hulegea pindi wanapotaka kufanya tendo la ndoa kuwa na manii dhaifu, hukosa msisimko kabla wakati na mwisho wa tendo kifupi hufanya tendo ilimradi ni tendo
Hali hii husababishwa na nguvu nyingi inayotumika wakati wa kujichua au kujisaga ,hivyo ni vyema mwaathirika amuone daktari ampe maelezo ya kina kuhusu athari za sasa ndipo apewe maelekezo ya tiba kutokana na ukubwa ua udogo wa tatizo
Labels:
afya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za porngraphy na kupiga punyeto au masterbation kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua kwa tiba ya vyakula, please tuwasiline #usharinasaha18@gmail.com
ReplyDeleteKwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za porngraphy na kupiga punyeto au masterbation kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua kwa tiba ya vyakula, please tuwasiline #usharinasaha18@gmail.com
ReplyDelete