Friday, July 13, 2012
RAISI WA RWANDA, PAUL KAGAME AKANUSHA KUUNGA MKONO WAASI DR KONGO
Raisi wa Rwanda Paul Kagame amekanusha vikali kuhusika na waasi wa kongo DRC katika mapiganao yanayoendelea kati ya waasi hao na serikali.
Katika mahojiano katika kipindi cha Hardtalk cha BBC Television, alisema Rwanda haina nia wala inachopata kama itasaidia waasi hao ambao kikundi chao kinajulikana kama M23.
Labels:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment