SHEREHE ZA UFUNGUZI WA OLYMPIC 2012
Mabomba yanayotoa moshi kwenye picha nayo yaliletwa hapo kama moja ya sherehe za ufunguzi wa Olympic 2012.Hii ilikuwa inakumbusha Mapinduzi ya Viwanda yalipo anza huko ulaya.watu walianza kutumia mashine za mikono etc. kwa ajili ya kuinua uchumi wa nchi zao.
No comments:
Post a Comment