|
kichwa cha treni kilichoigonga hii gari kilikuwa katika mwendo wa pole!.reli hii kwa sasa iatumika sana kwa ajili ya usafiri wa abiria wa jiji la Dar, wanaotumia usafiri wa reli. |
|
Usiku wa leo 11/12/2012, kwenye mida ya saa mbili na nusu, Gari kwenye picha hapo juu iligongwa na kichwa cha tren. |
Hii ichukuliwe kama Taadahri kwa magari yanayojikuta yakisimama kwenye barabara za reli kwa sababu tofauti, kama za foleni au wanaita kubana ili mtu mwingine asipite!
Hapa ndipo unapokuja umuhimuwa kufuata sheria za barabarani.Imekuwa bahati dereva wa gari hili kutoka salama bila kuumia.
No comments:
Post a Comment