MANDELA ATIMIZA MIAKA 94
Mpambanaji wa ubaguzi wa rangi na pia mshindi wa Tuzo ya amani ya Nobel Raisi mstaafu Nelson Mandela ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa, akitimiza miaka 94 Jumatano wiki hii. Nelson Mandela ni Kiongozi mmojawapo katika Afrika na Dunia mwenye mvuto wa watu wengi katika siasa na kama alama ya matumaini na amani.
No comments:
Post a Comment