Dibaba Tirunesh wa Ethiopia amejinyakulia nishani ya dhahabu baada ya kuibuka mshindi kwenye mbio za wanawake mita 10000(sawa na kuzunguka uwanja wa mpira mara 13), akitumia mda wa dakika 30:20.75. Rekodi ya dunia kwa mbi hizo ni dakika 29:54:66
Hata hivyo Wakimbiaji kutoka Kenya nao hawakuwa nyuma, nafasi ya pili imeenda Kenya kwa Kpyengo Sally J,aliyetumia dakika 30:26:37, amabaye amepata nishani ya fedha na a nafasi ya tatu imeenda Kenya kwa Cheruityot Vivia ambaye ametumia dakika 30:30:44
Washiriki wengine walikuwa ni kutoka Marekani, Uingereza,Korea na kwingineko.
Katika Mbio hizo Mshiriki mmoja kutoka Kenya,Joyce Chepkirui alikatisha mashindano kwa sababu ambazo hazijajulikana.
No comments:
Post a Comment