Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo pamoja na chumba cha upasuaji cha kisasa katika hospitali ya wilaya ya Hai ambapo ujenzi pamoja na vifaa katika chumba hicho vimegharimu zaidi ya shilingi bilioni moja ,
Kutokana na ujenzi huo kukamilika mkuu wa wilaya ya Hai Bw. Novatus Makunga alikagua jengo hilo la hospitali hiyo na kupewa maelezo kwa watendaji wa hospitali hapo
No comments:
Post a Comment