Friday, June 22, 2012

TAMKO


Mwenyekiti wa Vijana wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania Bw. Shabani Mapeyo akisoma tamko la taasisi hizo, Dar es Salaam jana, linalowataka waislamu kutoshiriki katika Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika nchini hivi karibuni. Kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Bw. Rajabu Katimba na (katikati) ni Mwenyekiti  Shekhe Ponda Issa Ponda.

Je tamko hili sahihi? tujadili changamoto hii.

No comments:

Post a Comment