Monday, November 19, 2012

YALIYO JIRI KWA SIKU YA LEO-kwa ufupi

  1. CHADEMA-M4C(Movement for Change) yajiandaa kwenda kufanya mikutano yao ya kueleimisha wananchi kuhusu elimu ya urai na pamaoja.
  2. Jopo la majaji watatu lita anza kusikiliza Rufaa ya serikali juu ya hukunu iliyompa aliyekuwa mkuu wa upelelezi na makosa ya jina mkoani Dar es salaam ACP Abdallah Zombe pamoja na wenzake.Rufaa hiyo ita anzwa kusikilizwa mwezi ujao.
  3. Mh. Lowasa awaunga mkono Chadema kuhusu sera ya Elimu Bure hadi secondari, ataka iwe moja ya ajenda kuu katika uchaguzi wa 2015.
  4. Waziri wa zamani Mh. Jackson Makweta afariki.waombolezaji wakiwa nyumbani kwake wamesema Mh. amekuwa akiishi maisha yasiyo hashiria kuwa na uffisadi wa aina yeyote.
  5. Marehemu atazikwa Jumatano mkoani Njombe.
  6. Waziri mkuchika aomba majina ya wanao weka mabilioni ya pesa nje ya nchi ili washughulikiwe.
  7. Jeshi la ulinzi la Tanzania la saidia kusafirisha mahindi yaliyokuwa kwenye hatari ya kunyeshewa na mvua mkoani Rukwa. Japo wamedai miondo mbinu ina sababisha 
  8. Mapigano yaibuka Kaskazini mwa Kenya kufuatia mtu mmoja kurusha bomu kwenye gari dogo la abiria. Polisi kenya wameshamkamata mtu mmoja kuhusika na tukio hilo.
  9. Kikundi cha waasi cha nchini Kongo M23 chatishia kuongeza mashambulizi kuelekea Goma kama Serikali ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo hayata ondoa majeshi ya kulinda Amani.
  10. USA river yakosa umeme kufuatia watu wenye akili mbovu kukata nyaya ya umeme na kuiba.
  11. Jaji Warioba asifu maoni uchangiaji wa maoni waliyo yakusanya katika awamu tatu za mwanzo za ukusanyaji huo wa maoni.
  12. Serikali yaanza kuwanyang'anya walioshindwa kuendeleza viwanda vilivyo binafsishwa kwao.
  13. TBS Yaonesha vifaa walivyonavyo kwa ajili ya kupima ubora wa vifaa vya ujenzi kama nondo, cement,.Pia washauri wajenzi kuzingatia viwango wanapo taka kujenga nyumba zao.
  14. Serkali ya Israeli haioneshi dalili zozozte za kusimamaisha mapigano japo Katibu wa umoja wa mataifa kuomba Israeli kusimamisha mapgano hayo.
  15. Obama aomba Serikali ya Myanmar kuondoa tofauti zao za kikabila na udini ili kuliongoza vema taifa hilo. alitoa mfano wa Marekani kuwa ina watu waliotoka nchi mbalimbali na wenye itikadi tofauti, ila baada ya kuondoa tofauti zao kama Taifa, wameweza kupiga maendeleo yanayo onekana hivi sasa.


No comments:

Post a Comment