Wednesday, July 18, 2012

THE PATH SOCIETY -KUTOA MAFUNZO KUHUSU MEDITATION



Ijumaa ya tarehe 20/07/2012 mahali  SHISHKUNJ KISUTU STREET patafanyika mafunzo yanayomfundisha mwanadamu kujitambua kuhusiana na asili yake kwa kutumia njia ya meditation.

mafunzo haya yata anza nyakati za jioni, kuanzia mida ya saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili usiku.

kwa maelezo zaidi wasiliana kwa e mail : themirwegasira@hotmail.com

wote mnakaribishwa. hakutakuwa na kiingilio.

No comments:

Post a Comment